Ilikuwa koloni la Hispania kwa jina la Guinea ya Kihispania likiwa na maeneo mawili ambayo yalijulikana kama Río Muni (bara na visiwa vidogo kadhaa), na kisiwa cha Bioko ambako uko mji mkuu, Malabo (ambayo iliitwa awali Santa Isabela).
Mji mkuu wa Ginekweta unaitwaje?
Ground Truth Answers: MalaboMalaboMalabo
Prediction: